A NACTE website is a website built, designed, and maintained by NACTE – National Council for Technical Education. The official NACTE website provide you with important facts , Admission news and Updates about the National Council for Technical Education (NACTE) , as well as information on the NACTE’s mission.
You can access the NACTE website via this URL Link https://www.nacte.go.tz/
For NACTE Online application Click here
For accessing NACTE Admission Guidebook Click here
For NACTE admission news and News Click here
Samahan naomba kufaham Kama supplimentary za wizara (nacte) kama zinamalipo ya aina yoyote….
Yaah,unalipa 100000….despite ni suplimentary ngapi umepata
No comment
Samahanin jaman naomba kujua kama dirisha la kuomba vyuo ngaz ya certificate limefunguliwa?
Naomba kujua muongozo wa wizara ya afya
Nlkuw nauliza kama academic calendar imebadidilishwa au laa
Samahan kuuliza kwa mwanafunzi aliyepata pass mbili kwenye masomo ya sayansi anachukuliwa au
Samahani Naomba kuuliza
Nilituma maombii ya kupokea transcript Yangu Arusha lakin katika kujaza details zangu kwenye tareh ya kuzaliwa nilikosea nacte wakanitumia msg kuwa cwez kuipata Maan
a nimekosea tareh ya kuzaliwa
Naomba Masada kwamba ntafanyaje sasa ili niweze kuipata hiyk transcript
Nimemaliza diploma in education mwaka huu, naingia kutafuta AVN number ila inagoma!! Ina, naomba msaada
Samahan naomba kufahamu kuhusu mwanafunzi aliyeapply chuo kupitia Nacte online anapata majibu kivipi na kwa muda gani?
Kazi njema.